Wednesday, November 23, 2011

KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM MJINI DODOMA LEO!

 Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wakimkaribisha Rais Jakaya Kikwete kufungua mkutano huo
Rais Jakaya Kikwete na akiwaongoza Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, Dk Mohamed Shein, Rais Aman Karume, Katibu Mkuu CCM Mkama na Makamu Mwenyekiti wa CCM Pius Msekwa kuendesha mkutano huo.
      Spika Anne Makinda, Seif Khatibu, Chiligati na baadhi ya wajumbe wakifuatilia mkutano huo.
Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM wakisimama kwa dakika moja kuwakumbuka Watanzania wengine waliotangulia mbele za haki.
            Wajumbe wa NEC wakifuatilia mkutano huo kwa umakini mkubwa, hapa ni maamuzi tu.
Abbas Mtemvu, Kawawa, Jerry Slaa, Abdalah Kigoda na baadhi ya wajumbe wakifuatilia mkutano huo.
Salaam kiongozi, ndivyo anavyoonekana kusema NAPE NNAUYE mbele ya Edward Lowassa 'DON KING'. Wengine ni Fredrick Sumaye na Kingunge Ngombale Mwiru.
Mawaziri Wakuu Wastaafu, Edward Lowassa na Fredrick Sumaye wakisalimiana kabla ya kuanza kwa mkutano huo wa NEC.
Nipo kiongozi, nawakilisha sauti za wanyonge, ndivyo anavyoonekana kusema Spika Samwel Sitta kwa Rais Jakata Kikwete. PICHA NA IKULU!

No comments:

Post a Comment