Wednesday, November 23, 2011

IDARA NYETI ZA SERIKALI BADO ZAONGOZA KWA VITENDO VYA RUSHWA NCHINI!

                                     Hivi ndivyo rushwa ilivyoathiri sekta ya elimu nchini.
Pamoja na jitihada mbalimbali zinazofanywa na serikali za nchi za jumuiya ya Afrika mashariki za kupambana na kutokomeza vitendo vya rushwa bado idara nyeti za serikali za nchi hizo zimeendelea kuwa vinara wa vitendo hivyo.

Akizungumza jijini Dar es Salaam kuhusiana na hali ya rushwa katika nchi za ukanda wa Afrika Mashariki Mkurugenzi wa Asasi isiyo ya kiserikali ya mpango wa maendeleo na utafiti barani Afrika FORDIA, ADAMU KIVENULE amesema, katika utafiti huo idara za polisi na mahakama ndizo zinazoongoza kwa kukithiri kwa vitendo hivyo.

No comments:

Post a Comment