BAAADA YA KUFANYA VIZURI MWAKA JANA HADI MWAKA HUU MWANZONI NA NGOMA ILIYOBAMBA VILIVYO YA ACHAAAA WALIOMSHIRIKISHA PRODUCER WAO MESSEN SELEKTA NAKUWAPA SHOW ZA HAPA NA PALE NA INTERVIEW KIBAO NA WABONGO KUWAELEWA HAWA HAPA TENA WAKALI WAWILI WANAOFANYA VIZURI KWENYE BONGO FLAVA RICHBOI AKA KINGKAPITA NA NAS 3 WAFANYA BANGER LINGINE KALI WAKIMSHIRIKISHA RICH MAVOKO ANAEKIKI MJINI NA SILALI HAWA HAPA TENA WANAOMBA SUPPORT YENU SANA..
JINA LA ARTIST:RICHBOI-KINGKAPITA AND NAS 3
NYIMBO::MTOTO MLITO
PRODUCED BY MESSEN SELEKTA
STUDIO:: DE-FATALITY.
No comments:
Post a Comment