Katibu wa Chama cha mchezo wa ngumi Temeke Ali Mchumila akimkabidhi flana ya wadhamini wa michuano ya Wilaya ya Temeke CAW BEll Makamu menyekiti wa Mpira wa Kikapu Nchini , Phares Magesa.
Bondia Haridi Kibavu (kushoto) akimrushia konde Mahafudhi Swai wakati wa mpambano wao ulioandaliwa na Chama cha mchezo wa Ngumi Temeke, Dar es salaam jana, Kibavu aliashinda Kwa Pointi.
Kocha wa Mchezo wa Kimataifa wa Masumbwi Nchini Rajabu Mhamila Super D kushoto akimsindikoza Bondia Ibrahimu Class wa Amana kwa ajili ya kucheza Jana.
Mabondia Hamadi Omari na Thomas Son wakioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi wakati wa mashindano yaliyoandaliwa na chama cha mchezo wa Ngumi TEMEKE picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com.
No comments:
Post a Comment