Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza(kushoto)akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Sh. Milioni 10 mshindi wa mwezi wa promosheni ya M-PESA Peter Kilalo.Katikati ni Ofisa Mkuu wa M-PESA Dylan Lenox. Jumla ya shilingi milioni 480 zinashindaniwa katika Promosheni hiyo inayoendelea inahusisha pia punguzo la gharama katika utumaji wa fedha na nyongeza ya hadi asilimia 25 mteja anaponunua muda wa hewani kwa njia ya M-PESA.
Mshindi wa mwezi wa promosheni ya M-PESA Peter Kilalo akiwa na furaha baada ya kukabidhiwa mfano wa hundi yenye thamani ya Sh. Milioni 10 na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza hayupo pichani. Jumla ya shilingi milioni 480 zinashindaniwa katika Promosheni hiyo inayoendelea inahusisha pia punguzo la gharama katika utumaji wa fedha na nyongeza ya hadi asilimia 25 mteja anaponunua muda wa hewani kwa njia ya M-PESA.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza wapili toka kushoto akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani,wakati wa kumkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Sh. Milioni 10 mshindi wa mwezi wa promosheni ya M-PESA Peter Kilalo watatu.kulia ni Ofisa Mkuu wa M-PESA Dylan Lenox,kushoto Ofisa Mkuu wa Mahusiano na Biashara Mwamvita Makamba. Jumla ya shilingi milioni 480 zinashindaniwa katika Promosheni hiyo inayoendelea inahusisha pia punguzo la gharama katika utumaji wa fedha na nyongeza ya hadi asilimia 25 mteja anaponunua muda wa hewani kwa njia ya M-PESA.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza(kushoto)akimsikiliza Mshindi wa mwezi wa promosheni ya M-PESA Peter Kilalo(kulia)Baada ya kukabidhiwa rasmi mfano wa hundi yenye thamani ya Sh. Milioni 10 na Mkurugenzi huyo,Katikati ni Ofisa Mkuu wa M-PESA Dylan Lenox. Jumla ya shilingi milioni 480 zinashindaniwa katika Promosheni hiyo inayoendelea inahusisha pia punguzo la gharama katika utumaji wa fedha na nyongeza ya hadi asilimia 25 mteja anaponunua muda wa hewani kwa njia ya M-PESA.
Ofisa Mkuu wa M-PESA Dylan Lenox kulia akifafanua jambo kwa waandishi wa habari mara baada ya Mshindi wa mwezi wa promosheni ya M-PESA Peter Kilalo,kukabidhiwa mfano wa hundi yenye thamani ya Sh. Milioni 10 na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza hayupo pichani,Jumla ya Milioni 480 zinashindaniwa katika Promosheni hiyo inayoendelea inahusisha pia punguzo la gharama katika utumaji wa fedha na nyongeza ya hadi asilimia 25 mteja anaponunua muda wa hewani kwa njia ya M-PESA.
Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania na waandishi wa habari wakifuatilia makabidhiano ya mfano wa hundi yenye thamani ya Sh. Milioni 10 kwa mshindi wa mwezi wa promosheni ya M-PESA Peter Kilalo.aliyokabidhiwa rasmi na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza.Jumla ya Milion 480 zinashindaniwa katika Promosheni hiyo inayoendelea inahusisha pia punguzo la gharama katika utumaji wa fedha na nyongeza ya hadi asilimia 25 mteja anaponunua muda wa hewani kwa njia ya M-PESA.
No comments:
Post a Comment