Mmoja ya washereheshaji wa tamasha la Mitikisiko akiwa kazini wakati wa tukio hilo.
Baadhi ya wahudhuriaji wa tamasha la Mitikisiko wakiangalia moja ya tukio jukwaani.
Washereheshaji wa tamasha la Mitikisiko wakiwa kazini kuhakikisha kila mtu anapata burudani ndani ya viwanja vya Ilula.
Umati wa watu waliohudhuria kwenye tamasha la Mitikisiko wakipata burudani.
Huu pia ni umati wa watu waliohudhuria tamasha hilo linalokusanya watu kutoka vitongoji mbalimbali Ilula.
Haya ndiyo mandhari ya mji wa Ilula mkoani Iringa unavyoonekana kutokea Barabarani.
No comments:
Post a Comment