Saturday, October 1, 2011

HIVI NDIVYO MKUTANO WA MAWASILIANO WA MASOKO TANZANIA TMCC ULIVYOKUWA GOLDEN TULIP!

Mshauri wa maswala ya Masoko wa kampuni ya Constomer Passion Point Ltd Ikechuku Kalu akitoa mafunzo katika mkutano wa Mawasiliano wa masoko (Tanzania Marketing Communication Conference -TMCC) uliowashirikisha wataalamu wa masoko na mawasialiano wa makampuni mablimbali ikiwa na lengo la kubadilishana uzoefu mkutano huo wa siku mbili ulidhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa wa Mawasiliano wa masoko Tanzania Marketing Communication Confrence (TMCC) uliowahusisha wataalaamu wa masoko na mawasiliano uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulp jijini Dar es Salaam, wakifuatilia mada iliyokuwa ikitolewa na Mshauri wa maswala ya masoko wa kampuni ya Constomer Passion Point Ltd Ikechuku Kalu.
Mwenyekiti wa Marketing Society of Tanzania Rosemary Mwakitwange akifafanua jambo katika wa mkutano wa wa Mawasiliano wa masoko (Tanzania Marketing Communication Confrence (TMCC) uliowashirikisha wataalam wa masoko wa makampuni mbalimbali ikiwa na lengo la kuwakutanisha pamoja ili kubadilishana uzoefu wao kushoto ni Mshauri wa maswala ya masoko wa kampuni ya Constomer Passion Point Ltd Ikechuku Kalu
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa wa Mawasiliano wa masoko Tanzania Marketing (TMCC) uliowahusisha wataalaamu wa masoko kutoka makampuni mbalimbali wakifuatilia mada katika mkutano huo uliofanyika jijini Dar es Salaam.mkutano huo ulidhaminiwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo Leonard Thadei akihutubia katika mkutano wa Tanzania Marketing Communication Confrence (TMCC) uliowshirikisha wataalamu wa masoko toka makampuni mbalimbali hapa nchini. Mkutano huo uliodhaminiwa na Kampuni ya Vodacom ulikuwa na lengo la kuwakutanisha wataalamu hao ili waweze kubadilishana utalaamu wao.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni na Michezo Leonard Thadei wa sita kutoka kushoto waliosimama mbele akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano wa Tanzania Marketing Communication Conference (TMCC) uliofanyika jijini Dar es Salaam, uliowashirikisha wataalamu wa masoko toka makampuni mbalimbali hapa nchini.
Meneja huduma na Bidhaa wa kampuni ya Vodacom Tanzania Elihuruma Ngowi, akiongea na wandishi wa habari kuhusiana na mkutano wa Tanzania Marketing Communication Confrence (TMCC ) katika Hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam, Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania ni miongoni mwa makampuni yaliyodhamini mkutano huo wa siku mbili.

No comments:

Post a Comment