Wednesday, June 15, 2011

WANANCHI BADO WANA MWAMKO WA KUFUATILIA TAARIFA ZA BUNGE!

Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR – Mageuzi, SAMUEL RUHUZA, amesema mwamko wa Wananchi katika kufuatilia vikao mbalimbali vya bunge bado ni mkubwa hususani katika kipindi hiki cha Bunge la Bajeti.

RUHUZA, amesema bunge la sasa linahamasa kubwa inayochangiwa na uwepo wa Wabunge wengi vijana hali inayopelekea wananchi wahamasike zaidi kufuatilia vikao vinavyoendelea Bungeni.

No comments:

Post a Comment