Friday, August 19, 2011

PICHA YETU YA LEO - HAYA NDIO MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA!

Mama wa makamo akikatiza mtaani huku akiwa na mzigo wa kuni wa ajili ya matumizi ya nyumbani licha ya kuwa nishati hii huchangiav uharibifu wa mazingira.

No comments:

Post a Comment