Sunday, July 10, 2011

WHITEDENT WACHEZESHA BAHATI NASIBU SABASABA KWA WATEJA WAO!

Baadhi ya wateja wa Whitedent wakiingia katika banda la maonyesho la Whitedent kununua vitu ambapo kila mteja atapatiwa kuponi ya Bahati nasibu itakayochezeshwa hapohapo ili kupata washindi watakaojipatia zawadi mbalimbali zikiwemo LCD TV aina ya Sonny Bravia yenye thamani ya shilingi milioni 3.
Mkuu wa Kitengo cha Mauzo wa Whitedent Bw. Saurav Ganguly ( kulia) akikabidhi LCD Tv (Sony Bravia) yenye thamani ya shilingi milioni 3 kwa mshindi Julias Mbonea Mtehongwa (katikati) katika Bahati nasibu iliyochezeshwa katika viwanja vya maonyesho ya biashara vya sabasaba. Anayeshuhudia kushoto ni mwimbaji wa muziki wa kizazi kipya Shaa.

No comments:

Post a Comment