Sunday, July 10, 2011

GLORY LOLI ATAWAZWA KUWA NDIYE VODACOM MISS VYUO VIKUU!

Washiriki wa Shindano la Vodacom Miss Vyuo Vikuu, wakipita mbele ya watazamaji huku wakiwa wamevaa vazi la kuogelea, Shindano hilo lililifanyika mwishoni mwa wiki mjini Dodoma.

Washiriki wa Vodacom miss vyuo vikuu wakipozi kwenye picha baada ya kumaliza kuonyesha mavazi mbalimbali katika shindano hilo, hapa wakisubili tano bora.

Warembo tano bora katika Shindano la vodacom miss vyuo vikuu.

Vodacom Miss vyuo Vikuu 2011 Glori Loli, akiwapungia mkono watazamaji baada ya kutangazwa mshindi. 
Mgeni rasmi katika Shindano hilo Mbunge wa Mchinga, Said Mtanda, akimkabidha kitita cha zawadi cha laki 700,000/- fedha taslimu mshindi wa tatu katika shindano hilo.

No comments:

Post a Comment