Baadhi ya Warembo hao wakipita kwenye zulia jekundu kuingia Club ya Sun Sirro
Mtaalam wa Masuala ya Habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu, Afisa Huduma na Bidhaa Elihuruma Ngowi wakijadiliana jambo na Muandaaji wa Miss Kinondoni Boy George wakati wa usiku huo.
Baadhi ya warembo wa kanda hizo wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Hapa wakiserebuka ndani ya Club ya Sun Sirro.
Miserebuko ikiendelea, shika hapa shika pale ilimradi tu kuna happen.
Kila mtu na style yake, nyonga zinachezeshwa wakti mwingine akiweka pozi mbele ya Camera, duh!
No comments:
Post a Comment