Tuesday, July 5, 2011

NDUNDU PARTY YA SALUM NG'ANZI ILIVYO 'HAPPEN' KWENYE UKUMBI WA BOMBO JIJINI TANGA!

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Dar es Salaam, Mheshimiwa  Zarina Madabida (MB) akicheza muziki na baadhi ya wageni waalikwa wakati wa hafla ya ‘Ndundu Party’ ya Pharmacist Salum Ng’anzi iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo cha Manesi Bombo jijini Tanga mwishoni mwa wiki. Ng’anzi anatarajia kupata jiko hivi karibuni.
Mdau wa www.theeastafrica.blogspot.com Jerome Risasi (Kulia) akiwa na Bwana Harusi Mtarajiwa Pharmacist Salum Ng’anzi wakati wa hafla ya ‘Ndundu Party’ iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo cha Manesi Bombo jijini Tanga mwishoni mwa wiki.
Meneja wa duka kubwa la nguo la Modern Day lililopo Mlimani City Da Asia Membe akiwaonesha baadhi ya wageni waalikwa zawadi iliyoandaliwa kwa ajili ya Bwana harusi mtarajiwa Pharmacist Salum Ng’anzi wakati wa hafla ya ‘Ndundu Party’ iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo cha Manesi Bombo jijini Tanga mwishoni mwa wiki. Ng’anzi anatarajia kupata jiko hivi karibuni.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Dar es Salaam, Mheshimiwa Zarina Madabida (MB) wa pili kushoto akiwa kwenye picha ya pamoja na mama mzazi wa Bwana Harusi mtarajiwa Pharmacist Salum Ng’anzi, mdau wa www.theeastafrica.blogspot.com wakati wa hafla ya ‘Ndundu Party’ iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo cha Manesi Bombo jijini Tanga mwishoni mwa wiki.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Dar es Salaam, Mheshimiwa Zarina Madabida (MB) Kushoto akiwa na Bwana Harusi Mtarajiwa Pharmacist Salum Ng’anzi na mama yake mzazi Mariam Ng’anzi wakati wa hafla ya ‘Ndundu Party’ iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo cha Manesi Bombo jijini Tanga mwishoni mwa wiki.
Mdau wa www.theeastafrica.blogspot.com Jerome Risasi (Kushoto) akiwa nje ya ukumbi na ndugu na jamaa waliohudhuria kwenye hafla ya ‘Ndundu Party’ ya Pharmacist Salum Ng’anzi (Wa pili kulia) iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo cha Manesi Bombo jijini Tanga mwishoni mwa wiki.
Dada zake Bwana Harusi Mtarajiwa ‘Twins’ Fatuma na Rehema Ng’anzi nao walikuwepo kushow love kwa kaka yao Bwana Harusi Mtarajiwa Pharmacist Salum Ng’anzi wakati wa hafla ya ‘Ndundu Party’ iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo cha Manesi Bombo jijini Tanga mwishoni mwa wiki.
Bwana harusi mtarajiwa Pharmacist Salum Ng’anzi (Katikati) akisalimia na baadhi ya wageni waliohudhuria kwenye hafla ya ‘Ndundu Party’ iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo cha Manesi Bombo jijini Tanga mwishoni mwa wiki. Ng’anzi anatarajia kufunga ndoa hivi karibuni.
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Dar es Salaam, Mheshimiwa Zarina Madabida (MB) Aliyekaa akitunzwa na dada wa Bwana Harusi Mtarajiwa Pharmacist Salum Ng’anzi wakati wa hafla ya ‘Ndundu Party’ iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo cha Manesi Bombo jijini Tanga mwishoni mwa wiki.
Mama mzazi wa Pharmacist Salum Ng’anzi, Mariam Ng’anzi akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Dar es Salaam, Mheshimiwa Zarina Madabida (MB) wakati wa hafla ya ‘Ndundu Party’ iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Chuo cha Manesi Bombo jijini Tanga mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment