Tuesday, July 26, 2011

MAONESHO YA WIZARA YA NISHATI NA MADINI YAENDELEA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA!

Joseph Chilambo (kulia) akitoa maelezo kuhusiana na mikopo inayotolewa na benki ya ACB kwa wateja wake wanaotaka kuunganishiwa umeme wakati wa maonyesho ya Wizara ya Nishati na Madini kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana ikiwa ni maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara.

No comments:

Post a Comment