Mhadhiri maarufu wa masuala ya Kisiasa na Kijamii nchini ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kigoda cha Mwalimu Nyerere, Prof Issa Shivji ametoa wito kwa nchi za Afrika kuichukulia nchi ya Libya kama mfano kwao katika kuongoza mataifa yao.
Akizungumzia hali ya kisiasa nchini Libya ambapo waasi wamefanikiwa kuushikilia mji Mkuu wa nchi hiyo Tripoli, Prof SHIVJI amesema uongozi bila kulinda nchi, kuwalinda wananchi na rasilimali zilizopo kwa kutegemea kuungwa mkono na mataifa ya Kimagharibi ipo siku yatawageuka na kuwasaliti.
No comments:
Post a Comment