Sunday, December 4, 2011

SIKU RAIS KIKWETE ALIPOHITIMISHA MBIO ZA MWENGE WA UHUHURU KABLA YA KUANZA SAFARI KUELEKEA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO!

Sehemu ya umatiwa watu waliohudhuria maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi mwenge wa uhuru mkuu wa majeshi Jenerali Davies Mwamunyange ambaye atawakabidhi wapandishaji mlima kilimanjaro.
Rais Jakaya Kikwete akitoa tuzo kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh Fatuma Mwassa na maafisa wake baada ya mkoa huo kuibuka mshindi wa jumla wa mikoa iliyofanya vyema katika mbio za mwenge wa wingi wa miradi na maandalizi.
Rais Jakaya Kikwete akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni moja kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh Fatuma Mwassa na maafisa wake baada ya mkoa huo kuibuka mshindi wa jumla wa mikoa iliyofanya vyema katika mbio za mwenge wa wingi wa miradi na maandalizi.

No comments:

Post a Comment