Monday, August 22, 2011

Serikali ina mpango wa kupima maeneo 820 yanayofaa kuchimba visima virefu vya maji huku ikiendelea kuchunguza vyanzo vya maji chini ya ardhi katika mwaka huu wa fedha 2011/2012.

Akisoma Bajeti ya Wizara ya Maji Bungeni mjini Dodoma kwa niaba ya Waziri wa Maji Prof MARK MWANDOSYA aliyeko nje ya nchi matibabu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Mh. Stephen Wassira amesema wizara hiyo itaendelea kuimarisha usimamizi katika uchimbaji wa visima vya maji kupitia ofisi za mabonde ya maji.


Aidha Katika jitihada za kueneza teknolojia ya uvunaji maji ya mvua, Mheshimiwa WASSIRA amezitaka Halmashauri kuzingatia yafuatayo.

No comments:

Post a Comment