Mikakati ya Taifa ya kupunguza kusambaa kwa maambukizi ya VVU inaweza kufikiwa endapo upatikanaji wa huduma na elimu juu ya maambukizi hayo itatolewa kwa watu wanaoishi kwenye mazingira hatarishi ikiwemo kuapatiwa huduma mbadala za afya.
Akizindua shindano la miezi mitatu la Uandishi wa Makala za Ukimwi litakalowahusisha waandishi wa habari pekee kwa mwaka 2011/2012, Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Ukimwi Tanzania(AJAAT) ADOLF KIVAMWO amesema washiriki watatakiwa kuibua changamoto za kisera na mipango ya serikali katika kutatua tatizo la Ukimwi.
No comments:
Post a Comment