Thursday, June 21, 2012

WAREMBO WA SHINDANO LA MISS DAR INDIAN OCEAN 2012 WAJIANDAA KUWASHA MOTO KIJIJI CHA MAKUMBUSHO JUNE 22, 2012

 Warembo wanaotarajiwa kushiriki shindano la Miss Dar Indian Ocean 2012 wakijifua kwenye ndani ya Kijiji Cha Makumbusho ambapo shindano hilo linatarajiwa kufanyika JUNI 22 katika ukumbi huo.
 
 Mambo yamenoga yani si kusimuliwa; warembo wamependeza sana.

 ...Kiboda Boda imekolea, ndugu mpenzi wa mambo ya urembo usikose... JUNI 22 katika ukumbi huo.


Mratibu wa Shindano hilo Stellashubi alisema kwamba warembo watakaoshiriki shindano hilo wanaendeleza na mazoezi Kijiji cha Makumbushi jijini Dar es Salaam.Alisema mpaka sasa warembo 15 kutoka viunga vya jiji la Dar wanatarajia kumenyana vikali.

No comments:

Post a Comment