Tuesday, April 10, 2012

RAIS KIKWETE AHANI VIFO VYA IGP STAAFU HARUN MAHUNDI NA MCHEZA SINEMA STEVE KANUMBA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo kwa kifo cha Inspekta Jenerali wa Polisi Mstaafu Marehemu Harun Mahundi aliyefariki april 5, 2012 na kuzikwa jana jijini Dar es salaam. Hapo ni nyumbani kwa marehemu Mikocheni barabara ya Rose Garden



 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwafariji watoto wa Inspekta Jenerali wa Polisi Mstaafu Marehemu Harun Mahundi aliyefariki april 5, 2012 na kuzikwa jana jijini Dar es salaam.



 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa wafiwa Picha namba j3 ni mdogo wake Kanumba.



Rais Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa wafiwa



 Rais Kikwete akiwafariji wafiwa nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 alikofika kuomboleza nao kifo hicho



Rais Kikwete akiongea na wanakamati ya msiba wa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 alikofika kuomboleza nao kifo hicho

No comments:

Post a Comment