Monday, February 27, 2012

MATUMLA AUSAMBALATISHA MTAMBO WA GONGO KWA POINT

Mabondia Maneno Osward (kushoto) na Rashid Matumla Wakioneshana umwamba wa kutupa masumbwi wakati wa mpambano wao uliochezwa Jumamosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba Matumla alishinda kwa point.
Refarii Antoni Luta katikati akimnyoosha mkono juu bondia Rashidi Matumla kuashiria ushindi dhidi ya mpinzani wake maneno Osward kushoto wakati wa mpambano wao uliochezwa Jumamosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba Matumla alishinda kwa point.(Picha na www.superd boxingcoach.blogspot.com).

No comments:

Post a Comment