Monday, February 27, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKAGUA UJENZI WA BWAWA LA KILIMO CHA UMWAGILIAJI!


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Mama Asha Bilal, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro na baadhi ya viongozi wa mkoa huo, wakitoka kukagua ujenzi wa mradi wa Bwawa la umwagiliaji lililopo kijiji cha Rwayo, wakati akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Mbeya Februari 25, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR.

No comments:

Post a Comment