Saturday, February 4, 2012

JK AWASILI MWANZA TAYARI KWA SHEREHE ZA MIAKA 35 YA CCM


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mtoto Maganga mwenye umri wa miaka mitatu ambaye pamoja na mama yake walikuwa katika mojawapo ya vikundi kadhaa vya ngoma za asili zilizomlaki uwanja wa ndege wa Mwanza leo January 4, 2012 alikotua tayari kwa kujiunga na wana CCM kusherehekea miaka 35 ya chama hicho tawala.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa katika uwanja wa ndege wa Mwanza leo January 4, 2012 alikotua tayari kwa kujiunga na wana CCM kusherehekea miaka 35 ya chama hicho tawala.




No comments:

Post a Comment