Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba (NHBRA), Dkt.Simon Kintingu, kuhusu utengenezaji rahisi wa mabati ya Vigae, wakati Makamu alipofika kuzindua Kambi ya Vijana 400 Wajasiliamali walioanza kambi hiyo leo kwa lengo la kujifunza utengenezaji wa vigae na ujenzi wa nyumba za bei nafuu, wakati akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Pwani leo Februari 03,2012 |
No comments:
Post a Comment