Saturday, February 4, 2012

JK ATUA JIJINI MWANZA, KUWA MGENI RASMI KESHO MIAKA 35 YA CCM


Katibu wa NEC Itikadoi na Uenezi Nape Nnauye akimbusu mtoto Nyambani Mganga (3) baada ya kuviwa na uchezaji ngoma wake, katika kikundi cha Utandawazi Theatre cha Ukerewe, kilipokuwa kikitumbuza kabla kabla ya Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwanza leo kwa ajili ya maadhimhso ya miaka 35 ya CCM kesho
 
 Mwenykiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akimtuza mtoto Nyambani Mganga (3) baada ya kuvutiwa na uchezaji ngoma wake, katika kikundi cha Utandawazi Theatre cha Ukerewe, kilipokuwa kikitumbuza alipowasilleo kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwanza kwa ajili ya kuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za miaka 35 ya CCM zitakazofanyika kesho jijini Mwanza

 Jk akishuka kwenye ndege alipowasili uwanja wa Ndege wa Mwanza leo jioni

. Rais Kikwete akisalimiana na mkuu wa mkoa wa Mwanza Injinia Evarist Ndikillo baada ya kuwasili Uwanja wa ndege jijini Mwanza leo jioni.


Rais Kikwete akifuatana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Mabina wakati alipowaisli jijini Mwanza leo

Rais Kikwete akiwasalimia wanachama wa CCM baada ya kuwasili jijini Mwanza

 

Katibu wa NEC, Nape Nnauye, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Mabina na Katibu wa CCM Mukama wakisahuriana jambo kwenye Uwanja wa Ndege jijini mwanza wakati wa mapokezi ya Rais Kikwete (Picha zote na Bashir Nkoromo)




No comments:

Post a Comment