Wednesday, January 18, 2012

SIKU RAIS KIKWETE ALIPOZINDUA JENGO LA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA FEDHA ZA SERIKALI MOROGORO!

Rais Jakaya Kikwete akizindua jengo jipya la Ofisi za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali la Mkoa wa Morogoro mjini Morogoro leo January 17, 2012. Nyuma yake ni Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali Bw Ludovick Utouh na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera
Rais Jakaya Kikwete akikata utepe kuzindua jengo jipya la Ofisi za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali la Mkoa wa Morogoro mjini Morogoro leo January 17, 2012. Kushoto yake ni Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali Bw Ludovick Utouh na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera. 
Rais Jakaya Kikwete akipokea zawadi toka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali Bw Ludovick Utouh katika hafla ya uzinduzi wa jengo jipya la Ofisi za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali la Mkoa wa Morogoro mjini Morogoro leo January 17, 2012. wengine ni Waziri wa Katiba Mh Celina Kombani (wa pili kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera na mkuu wa Wilaya ya Morogoro.PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment