Idara ya uhamiaji imefanikiwa kuwakamata wahamiaji haramu 14 wakiwemo mawakala wawili wanaojihusisha na biashara ya uuzaji wa binadamu kutoka nchi za Bangladesh, Ehiopia, Somalia, Pakstan pamoja na Nepal.
Naibu Kamishna wa Uhamiaji Bi. GRACE HOKORORO amesema wahamiaji hao walikamatwa katika viwanda vya Nondo vilivyopo katika Manispaa ya Ilala Jijini Dar es Salaam wakiwa wamehifadhiwa tayari kwa kusafirishwa kwenda nchini Afrika ya Kusini.
No comments:
Post a Comment