Wednesday, September 21, 2011

SERIKALI YAOMBWA KUZIBORESHA MAHAKAMA ZA ARDHI ILI ZITENDE HAKI!

Serikali imeombwa kuziboresha mahakama za ardhi kote nchini kwa kuziongezea vitendea kazi na rasilimali watu ili ziweze kutoa maamuzi sahihi tena yanayoendana na wakati.

Akizungumza na kituo hiki mmoja ya wakazi wa Temeke Jijini Dar es Salaam BI REHEMA MPILI amesema tangu afungue kesi yake ya madai ya nyumba ya urithi mwaka 2005 kesi hiyo haijaamuriwa licha ya mdaiwa kutofika mahakamani.

No comments:

Post a Comment