Wednesday, January 11, 2012

KESHO NI MIAKA 48 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Watanzania kote nchini kesho wanaungana na wananchi wa visiwa vya Unguja na Pemba kuadhimisha miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyotokea mwaka 1963. Maadhimisho hayo yanafikia kilele chake baada yakifuatiwa na sherehe mbalimbali zilizofanywa na taasisi mbalimbali visiwani humo ili kuadhimisha mapinduzI hayo yaliyoondoa utawala wa Kisultani.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein anatarajiwa kuongoza maadhimisho hayo ambapo viongozi mbalimbali wa ndani na nje yak nchi ikiwemo wa vyama vya siasa wanatarajiwa kuhudhuria katika maadhimisho hayo.


Uongozi wa Theeastafrica Blog Spot unawatakia WAtanzania wote maadhimisho mema ya Mapinduzi ya Zanzibar.
HAPPY MAPINDUZI DAY!

No comments:

Post a Comment