MAADHIMISHO YA MIAKA 35 YA CCM!
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, kuhusu maadhimisho ya kuzaliwa kwa CCM ambayo yataanza mwanzoni mwa mwezi Februari na kufikia kilele chake Februari 5, 2012.
No comments:
Post a Comment