Thursday, January 26, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL ZIARANI WILAYA YA MUHEZA – TANGA JANA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Jiwe la Msingi katika Soko jipya la Michungwani, wakati akiwa katika ziara yake ya Wilaya ya Muheza,  jana Januari  25, 2012. Picha na Muhidin Sufiani.                                                                        

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Ghari Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wa CCM Wilaya ya Muheza, alipowasili eneo hilo kwa ajili ya kupokea taarifa ya utendaji kabla ya kuanza kukagua baadhi ya miradi ya maendeleo akiwa katika ziara yake Wilayani Muheza Mkoa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia wananchi wa Muheza waliokuwa wamekusanyika nje ya ofisi ya CCM wakimtaka kuzungumza nao baada ya kupokea taarifa ya utendaji kutoka kwa viongozi wa CCM wa Wilaya hiyo, wakati akiwa katika ziara yake ya Wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga Jana Januari 25, 2012
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na wananfunzi wa Kidato cha kwanza wa shule ya Sekondari Seminari Living Stone, baada ya kuweka Jiwe la Msingi katika shule hiyo akiwa katika ziara yake ya Wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga leo, Januari 25, 2012. Picha na Muhidin Sufiani.               

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka jiwe la Msingi katika Shule ya Sekondari ya Seminari ya Living Stone, leo Januari 25, 2012, wakati akiwa katika ziara yake ya Wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga. Picha na Muhidin Sufiani
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti wakati alipotembelea Msitu wa asili wa Hifadhi wa Amani, akiwa katika ziara yake ya Wilaya ya Muheza Mkoa wa Tanga, leo Januari 25, 2012. Picha na Muhidin Sufiani.                                         

 

No comments:

Post a Comment