Thursday, February 16, 2012

'RED IN LADY' RELOADED 2012 ILIVYOFANA!

Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 Mama wa mtindo Asia Idarous Khamsin akiwakaribisha wageni katika onyesho hilo lililofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. Katika onyesho hilo pamlichangishwa fedha kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha kuhudumia watu walioathirika na madawa ya Kulevya nchini Tanzania ambacho kitakachojengwa huko Kikale, Rufiji mkoani Pwani.
Jokate Mwegelo ambaye alikuwa ni mc wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012, katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. Katika onyesho hilo pamlichangishwa fedha kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha kuhudumia watu walioathirika na madawa ya Kulevya nchini Tanzania ambacho kitakachojengwa huko Kikale, Rufiji mkoani Pwani.
                            Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Chiddy Benzi akiwasha moto.
Mwandaaji wa onyesho la mavazi la 'Lady in Red' Reloaded 2012 (wa kwanza kulia) Mama wa mtindo Asia Idarous Khamsin akiwa na mumewe Mzee Khamsin katika onyesho hilo lililofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam. Katika onyesho hilo pamlichangishwa fedha kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha kuhudumia watu walioathirika na madawa ya Kulevya nchini Tanzania ambacho kitakachojengwa huko Kikale, Rufiji mkoani Pwani.

No comments:

Post a Comment