Tuesday, January 10, 2012

BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA YAZINDUA HUDUMA YA KULIPIA ADA KWA MASHINE ZA SELCOM

 Mratibu Mwandamizi wa Kompyuta toka Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Bw. Ulrick Mkenda (kulia) akionesha mashine wakati wa Uzinduzi wa huduma ya kulipia Ada za mitihani kupitia mashine za Selcom Gaming LTD, Dar es salaam janaziitwazo selcom paypoints. kwa wahitimu wa kujitegemea 9kidato cha nne CSEE na Maarifa QT kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni hiyo Bw. Juma Mgori.
Mratibu Mwandamizi wa Kompyuta toka Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Bw. Ulrick Mkenda (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa Uzinduzi wa huduma ya kulipia Ada za mitihani kupitia mashine za Selcom Gaming LTD, Dar es salaam jana, ziitwazo selcom paypoints. Kwa wahitimu wa kujitegemea kidato cha nne CSEE na Maarifa QT kushoto ni Meneja Masoko wa Kampuni hiyo Bw. Juma Mgori. Picha na Mpiga Picha Wetu.

No comments:

Post a Comment