Tuesday, January 10, 2012

JK APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI LEO!

RAIS JAKAYA KIIKWETE AKIAGANA NA BALOZI WA UTURUKI MH. ALI DAVUTOGLU BAADA YA KUPOKEA HATI ZAKE ZA UTAMBULISHO LEO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
RAIS JAKAYA KIKWETE AKIPOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA BALOZI WA BURUNDI MH ISSA NTAMBUKA.
RAIS JAKAYA KIKWETE AKIPOKEA HATI TOKA KWA BALOZI WA UMOJA WA ULAYA MH. FILIBERTO CERIANI SEBREGONDI.
RAIS JAKAYA KIKWETE AKIPOKEA HATI YA UTAMBULISHO TOKA KWA BALOZI WA MALAWI MH FLOSSIE ASEKANAO GOMILA-CHIDYAONGA.
RAIS JAKAYA KIKWETE AKIPOKEA HATI YA UTAMBULSIHO TOKA KWA BALOZI WA DENMARK NCHINI MH JOHNNY FLENTO. PICHA ZOTE NA IKULU.

No comments:

Post a Comment