Sunday, November 13, 2011

ULIPITWA NA PICHA ZA VURUGU KUWAFUKUZA WAMACHINGA MWANJELWA, HIZI HAPA!

                       Wamachinga wakiwa Tayali kwa ajili ya Kupambana na FFU wakati wa tukio hilo

Wamachinga Mbali mbali wakikimbia katika eneo la tukio wakati wa machafuko hayo yamepamba moto
Watu Mbali Mbali wakiwa wanakimbia ili kujiokoa na Hatari katika eneo hilo. Picha zote na: www.latestnewstz.blogspot.com.

No comments:

Post a Comment