Sunday, November 27, 2011

MWANAMUZIKI WA UGANDA JOSE CHAMELEONE AWARUSHA WAKAZI WA DMV

Mwana muziki wa kizazi kipya ndani ya Washington DC, AJ Ubao wa kwanza (kushoto) pamoja mzee wa kuwachanganya Dmk global Dickson Mkama. wa kwanza( kulia) wakiwa nyuma ya jukwaa na mwana muziki aliyekuwa anasubiriwa kwa hamu Jumatano Nov 23, 2011 katika sherehe za Thanksgiving. Muimbaji Jose Chameleone katikati akisubiriwa kwa hamu na wapenzi wake.
             Nyuma ya jukwaa mwana dada Luren akipata flash ya pikee kabla ya unyesho kuanza.
Muimbaji Ana Lov akipata flash ya pamoja na rafiki yake kwenye onesho hilo la  Mwanamuziki wa Uganda Jose Chameleone
Chief wa swahilivilla Abou Shatry akipata picha ya pamoja na kundi zima la muimbaji kutoka Uganda  Jose Chameleone.
Aj Ubao alikuwa ni mumbaji wa pili kuimba katika onyesho hilo waliosherikiana na mwanamuziki wa kutoka Uganda Jose Chameleone, wakiwa nyuma ya jukwa  akipata flash ya pamoja na mdhamini wake wapendo.
Wapenzi wa tazamaji wakisubiri kwa hamu onyesho hilo kuazarasmi ndani ya ukumbi wa Rendezvous mitaa ya Parklawn Dr, Rockville Maryland U.S.

No comments:

Post a Comment