Mmoja ya Model aliyevalia "Beachwear" ikiwa ni ubunifu wa Vida Mahimbo.
Wanamitindo wakipita Jukwaani na chupa za VODKA wakiwa wamevalia mavazi yaliyobuniwa na Vida Mahimbo.
Mbunifu wa mitindo ya mavazi nchini VIDA MAHIMBO (katikati) akipita jukwaani na warembo waliovalia ubunifu wake kufunga onyesho hilo.
Vida Mahimbo akifanyiwa mahojiano na Fashion TV mara baada ya kumalizika kwa Onyesho lake.
Wadau wa masuala ya Ubunifu wa Mitindo na Mavazi wakisubiri kwa hamu kuanza kwa Onyesho la Vida Mahimbo's Beachwear Collection, F Vodka na Fashion TV katika hoteli ya Mediterraneo lililofanyika mwishoni mwa wiki.
No comments:
Post a Comment