Monday, September 5, 2011

MAHAFALI YA SHULE YA ST.THERESE OF LISIEUX KINDERGARTEN/PRIMARY SCHOOL YALIVYOKUWA!

Baadhi ya wahitimu darasa la saba (7) katika shule ya ST.Therese Lisieux iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam wakifuatilia hotuba ya Mgeni rasmi katika hafla hiyo.

Baadhi ya walimu wa Shule ya ST.Therese Lisieux iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye hafla ya mahafali ya Saba (7) katika shule hiyo.

Baadhi ya wanafunzi wa darasa la sita wa shule ya ST.Therese Lisieux iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam wakiongozwa na muongoza kwaya kuimba wimbo wa kuwaaga na kuwapongeza wahitimu wa kidato cha saba katika shule hiyo hapo jana.
Baadhi ya wanafunzi wa darasa la pili wa shule ya ST.Therese Lisieux iliyopo Ukonga jijini Dar es Salaam wakitoa heshima ikiwa ni ishara ya heshima ya kuwaaga wahitimu wa kidato cha saba katika shule hiyo ilyofanyika mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment