Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Diane Corner, wakati balozi huyo alipomtembelea ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Agot 15.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani , Klaus-Peter Brandes, wakati balozi huyo alipofika kujitambulisha rasmi ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Agosti 15. Kushoto ni msaidizi wa Balozi, Haus Koeppel.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani , Klaus-Peter Brandes, wakati balozi huyo alipofika kujitambulisha rasmi ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Agot 15.Kushoto ni msaidizi wa Balozi, Haus Koeppel. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani , Klaus-Peter Brandes, wakati balozi huyo alipofika kujitambulisha rasmi ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Agot 15.Picha na Muhidin Sufiani-OMR.
No comments:
Post a Comment