Sunday, June 26, 2011

NAPE AFANYA ZIARA YA KISIASA KILWA MASOKO!


Katibu wa NEC, Oganaizesheni, Asha Abdallah Juma, akimnyamanzisha Asha Likalangala, alipoangua kilio baada ya kuingiwa na maneno, Nape, Kilwa Masoko mko Itikadi na Uenezi Nape Nnauye alipokuwa akihutubia mkutano.

Nape akipokea kadi ya aliyekuwa katibu wa CUF kata ya Njinjo, Kilwa Mohamed Likalangala mkutano wa Kilwa Kivinje.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara katika mji mdogo wa Kilwa Kivinje, mkoani Lindi.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishauriana jambo na Katibu wa NEC, Oganaizesheni, Asha Abdallah Juma, kwenye mkutano, Kilwa Kivinje, Lindi.

No comments:

Post a Comment