Mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akibebwa kwa shangwe wakati wa mapokezi yake alipowasili kijiji cha Kimundo, Kata ya Nkoariasambu kufanya mkutano wa kampeni.
Sioi akisalimia wananchi baada ya kuwasili katika kijiji hicho cha Kimundo, Nkoroasambu.
Mgombea wa CCM Sioi Sumari akishangiliwa wakati akiwaaga wananchi baada ya mkutano wa kampeni katika kijiji cha Kimundo kata ya Nkoriansambu.
Mgombea wa CCM Sioi Sumari akiwaskuhuru wananchi baada ya mkutano wa kampeni katika kijiji cha Kimundo kata ya Nkoriansambu.
Mfanyabiashara ya baa katika kijiji cha Kimundo, Seuri Daniel akiwa ameweka picha ya mgombea wa CCM Sioi Sumari Juu ya picha ya mgombea wa Chadema Joshua Nassari katika eneo lake na biashara. (Picha zote na Bashir Nkoromo).
No comments:
Post a Comment