| Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Lindi mjini, Salum Baruani, wakati alipowasili kwenye Shule ya Sekondari Mnolela, lindi kwa ajili ya kuzindua Jengo la Utawala la shule hiyo, jana januari 21, 2012, wakati akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Lindi. Picha na Muhidin Sufiani  | 
No comments:
Post a Comment