Thursday, January 26, 2012

NAPE ANOGESHA BONANZA LA WAFANYAKAZI WA SAHARA COMMUNICATIONS LTD MWANZA


 Baadhi ya wafanyakazi wa SAHARA.

FLOWERS  kutoka sahara Communication ltd. 

 Mh NAPE NNAUYE akibadilishana mawazo na mmoja wa wafanyakazi wa SAHARA COMMUNICATION.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki mchezo wa kuvutana kwa kamba na wafanyakazi wa Sahara Communications Ltd, wakati wa Bonanza la wafanyakazi hao kwenye ufukwe wa ziwa Victoria jijini Mwanza.

vuta nikuvute hiyoo.


NAPE akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa Sahara Communications Ltd wakati wa bonanza hiyo

Mshereheshaji katika BONANZA hilo alikuwa MUHSIN MAMBO.

Mambo ya kamera,kamera kama kawaida.


No comments:

Post a Comment