Monday, September 5, 2011

TAARIFA YA MAJINA WALIOPATA MKOPO NA WANAOTEGEMEA KUJIUNGA NA VYUO 2011/2012!


NDUGU WANAVYUO WOTE NA AMBAO MNATEGEMEA KUJIUNGA NA VYUO MWAKA HUU NCHINI KOTE TUNAPENDA KUWAPA TAARIFA KUWA BODI YA MIKOPO TANZANIA IMETANGAZA MAJINA YA WANAFUNZI WOTE AMBAO WAMEPATA MKOPO NA KIASI AMBACHO WAMEPEWA.

PIA NA WALE AMBAO HAWAKUWEZA KUPATA MKOPO HUO TUMEWEKA HAPA PIA ILI KUWARAHISIHIA NA KUPUNGUZA MSONGAMANO MKUBWA AMBAO UPO KATIKA TOVUTI YA TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA, HIVYO BASI TUNAOMBA MTAZAME HAPA TUMEWEKA MAJINA YOTE KULINGANA NA HERUFI.

KUNA KUNDI A HAWA NI WANAFUNZI WALIO CHAGULIWA NA KUPATA MKOPO NA KUNDI B HAWA NI WANAFUNZI WALIO CHAGULIWA BILA MKOPO .

TUNAPENDA KUWAPA HONGERA WALE WOTE AMBAO WAMEPATA MKOPO HUU NA TUNAWATAKIA MASOMO MEMA,NA KWA WALE AMBAO MAJINAYAO YAPO KUNDI B PIA TUNAWAPA HONGERA SANA NA WAENDELEE KUSUBIRI NAFASI YA PILI WATAWEZA KUBAHATIKA KUWA HAPO. TUNATANGULIZA SHUKRANI ZETU NA ASANTENI KWA USHIRIKIANO WENU.


IMETOLEWA NA


MATUKIO NA WANAVYUO CREW  04.09.2011, BOFYA HAPA CHINI KUONA MAJINA HAYO!   www.tzwanavyuo.blogspot.com/2011/09/majina ya wanafunzi waliopata mkopo wa.html.

No comments:

Post a Comment