Monday, November 14, 2011

MDAU PHILLIP MWIHAVA WA CLOUDS MEDIA GROUP AKISHOW LUV BAADA YA KUCHANGIA DAMU!

Phillip Mwihava akiwa na Mtangazaji anayechipukia wa Clouds Perfect baada ya uchangiaji damu kwa hiari Mnazi Mmoja!
Phillip Mwihava akiwa na Mtangazaji wa kipindi cha Ng'aring'ari Sakina Lyoka kinachorushwa Clouds TV baada ya uchangiaji damu kwa hiari Mnazi Mmoja!
Phillip Mwihava akionesha karatasi yake ya vipimo tayari kwa kuchangia damu kwa hiari kwenye kituo kidogo cha uchangiaji kilichopo Mnazi Mmoja jijini. Kulia ni Mwandishi wa Clouds FM/TV Abel Onesmo!

Wadau kutoka mjengoni wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kukamilika kwa zoezi la uchangiaji damu kwa hiari. Kutoka kushoto waliosimama ni Jimmy Jam, Austin Beyadi, Abel Onesmo, Mohamed Abdul, Mirald Ayo, Sakina Lyoka, Raymond Mshana, Perfect, Hellen, Florance Majani 'dATAz' na  Philip Mwihava. Wengine nenda katoe damu kwa hiari utawafahamu!

No comments:

Post a Comment