Tuesday, June 21, 2011

SERIKALI KUJENGA VYUO VYA UFUNDI KATIKA KILA WILAYA NCHINI!

                                          Wanafunzi wa ufundi wakiwa kwenye mafunzo.
                                  Wakufunzi wa Ufundi wakiwa kwenye semina elekezi.
Katika kutambua umuhimu wa elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi, serikali imedhamiria kujenga vyuo vya ufundi katika kila wilaya nchini.

Naibu waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Phillip Mulugo amesema mchakato wa ujenzi wa vyuo vya ufundi hutanguliwa na na zoezi lakutambua stadi zanazohitajika katika kila eneo.
Amesema serikali itapitia upya stadi zinazoitajika kwa wilaya ya mbogwe ili iweze kujua ni stadi gani zinahitajika.

No comments:

Post a Comment