Wananchi wakimbeba kumpeleka jukwaani kuhutubia mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Kijiji cha Makiba kata ya Makiba, Arumeru Mashariki jana.
Sioi akiomba kura kwa wananchi wa Makiba. Kushoto ni Mbunge wa Simanjiro Christopher Ole Sendeka na kulia Mratibu wa kampeni za CM jimbo la Arumeru Mashariki Mwigulu Nchemba.
Katibu wa NEC, Oganaizesheni CCM, Asha Abdalla Jma akihutubia mkutano wa kampeni uwanja wa mpira wa kijiji cha Makiba.
Mbunge wa Mtera, Mjumbe wa NEC ya CCM, Livingstone Lusinde aka Kibajaji akihutubia Makiba.
Meja Jenerali Mstafu Mirisho Sarakikya akizungumza kwa niaba ya wazee katika mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya Makiba.
Hafsa Kazinja wa TOT akikamua Uwanja wa mpira wa Makiba.
Shabiki wa CCM wa Kata ya Makiba akishangilia mkutanoni.
Maelfu ya watu mkutano wa kampeni za CCM Makiba
Nchemba akihutubia Makiba.
No comments:
Post a Comment