Sunday, February 19, 2012

MSONDO NGOMA YALIPAMBA BONANZA LAO KWENYE VIWANJA VYA TCC SIGARA!

Waimbaji wa bendi ya Msondo ngoma ambao ni Vijana wa Kazi mwanzo mwisho wakitoa burudani wakati wa bonanza lao linalokuwepo kila jumamosi katika viwanja vya sigara kutoka kushoto ni Hassan Moshi, Eddo Sanga na Juma Katundu.
Mpiga Drams wa bendi ya msondo ngoma Sady Ally akiwajibika wakati wa bonanza la kila Jumamosi katika viwanja vya sigara.
Baadhi ya wadau wa msondo ngoma pia ni waandishi wa habari wakiburudika na burudani zilizokua zikitolewa na bendi ya msondo ngoma baba ya muziki kutoka kushoto ni Victor Makinda, Hadija Khalili na Juma Kasese.(Picha na www.burudan.blogspot.com).

No comments:

Post a Comment