Sunday, February 19, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AWAHUTUBIA WANANCHI WA WILAYA YA MPANDA MKOA MPYA WA KATAVI!

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia wananchi wa Wilaya ya Mpanda Mkoa mpya wa Katavi, wakati alipofika wilaya hiyo kuanza ziara ya mkoa mpya wa Katavi na Rukwa jana, Februari 18, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia wananchi wa Wilaya ya Mpanda Mkoa mpya wa Katavi, wakati alipofika wilaya hiyo kuanza ziara ya mkoa mpya wa Katavi na Rukwa jana, Februari 18, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR.

No comments:

Post a Comment