Tuesday, March 27, 2012

MIKUTANO YA CCM KATA YA USA RIVER!

                                                                      Potrait ya Sioi Sumari.
Umati wa watu waliofurika mkutano wa kampeni za CCM, Uwanja wa Ngarasero, Usa River,jana.
Mratibu wa kampeni za CCM, Mwigulu Nchemba akisoma waraka kwenye mkutano wa kampeni Usa River, waraka huo inadaiwa ni wa CHADEMA wakikiri watashindwa uchaguzi wa Arumeru Mashariki.
Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde akihutubia mkutano wa kampeni za CCM jana Uwanja wa Ngarasero, Usa River.
Polisi wakimpeleka kituoni kwao mtu waliyemkamata kwa tuhuma za kujaribu kuanzisha fujo kwenye mkutano wa kampeni za CCM kwenye Uwanja wa Ngarasero, Usa River.
Mazingira ya mikutano yakiwa ya usalama watoto pia hufurahia. Pichani, watoto wa kijiji cha Lekitatu, Usa River, Paul Gasper (6) na Roggers Parangyo (4) wakicheza wakati wazazi wao wakiwa kwenye mkutano wa kampeni katika kijiji hicho, jana.
 Wazee wa Kijiji cha Lekitatu, Usa River wakifuatilia kwa makini mkutnao wa kampeni za CCM uliofanyika jana kwenye kijiji hicho.

No comments:

Post a Comment